Mama mjamzito kutoka Uingereza amefikishwa mahakamani nchini Rwanda kujibu mashtaka ya kusambaza siri za taifa , kujaribu kumdhuru rais Paul kagame na kujaribu kuunda kundi la silaha. Violette ...