Rais wa Rwanda Paul Kagame amesema amekubaliana na serikali ya Marekani juu ya haja ya kusitisha mapigano mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Licha ya tamko hilo kiongozi huyo hata ...
Mgogoro unaoendelea katika eneo la Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) umeendelea kuibua mvutano mkubwa kati ya viongozi wa Afrika, hususan Rais Paul Kagame wa Rwanda na Rais Cyril ...
Perezida Félix Tshisekedi wa Repubulika ya Demokarasi ya Congo yavuze ko mu gihugu cye bahisemo "guca igitugu", mu magambo agaragara ko ari ugusubiza Perezida w'u Rwanda Paul Kagame, uherutse ...
RWANDA : RAIS wa Rwanda, Paul Kagame, ameilaani jamii ya kimataifa inayokosoa demokrasia nchini Rwanda, akisema inashindwa kuelewa ukweli wa hali halisi. Akizungumza kuhusu mzozo unaoendelea kati ya ...
RAIS wa Rwanda, Paul Kagame amesema kuwa amefanya mazungumzo ya tija na Katibu wa Marekani Marco Rubio na kuelewana kuhusu hitaji la kuhakikisha kusitishwa kwa mapigani katika DRC Mashariki. Kagame ...
RWANDA : RAIS wa Rwanda, Paul Kagame, amesisitiza kuwa serikali ya Rwanda haitoi msaada kwa wapiganaji wa kundi la M23 wanaosababisha ghasia mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), kama ...
Hatua hiyo inajiri baada Rais wa Kenya William Ruto kumwalika bwana Tshisekedi na mwenzake wa Rwanda Paul Kagame kwenye mkutano huo. Na wakati vita vikali vikiendelea kati ya M23 na jeshi la DR ...
Mkutano umepangwa kufanyika leo kati ya viongozi wa Kongo na Rwanda kwa mpango wa rais wa Kenya William Ruto ili kujaribu kutatua mgogoro huu mpya katika eneo la mpaka uliotikiswa kwa miaka 30 na ...