"Nawashukuru wote kwa maombi yenu, naendelea vizuri na natarajiwa kurejea uwanjani hivi karibuni, nafikiri nitarudi nikiwa na nguvu kuliko ilivyokuwa mwanzoni. Napenda kuwapongeza wachezaji wenzangu ...