Katika mkutano huo na sekta ya magari, Muto alisema serikali inapanga kuchukua hatua muhimu kwa kuangalia ukweli kwamba viwanda vya magari ndio sekta muhimu nchini Japani.
MAMLAKA ya Usimamizi wa Bima (TIRA) imesema magari chakavu yanayotaka kukatiwa bima imekuwa kikwazo kwa taasisi hiyo katika kukubaliana na matakwa ya wamiliki wa magari hayo kukatiwa bima. Kamishna wa ...