Kaimu Jaji Mfawidhi Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Morogoro, Amir Mruma amesema wananchi wengi hawajui haki zao katika kupata huduma muhimu ikiwemo umeme na maji.
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limetoa onyo la dharura kwa wananchi kuhusu hatari inayoweza ...
Watu wawili wanaume wamefariki dunia kwa nyakati tofauti kutokana na athari za maji yaliyotokana na mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali ndani ya Mkoa wa Morogoro. Kamanda wa Polisi wa mkoa ...
MBUNGE wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki (CCM)Mkoani Morogoro, Hamis Shabani Taletale maarufu Babu Tale, amesema wenye ...
Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew. Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) limesema askari wake wawili wamefariki dunia na wengine ...
Wakizungumza na waandishi wa habari leo Januari 20,2025 Dar es Salaam, wanaharakati hao wametoa wito kwa Serikali za nchi za ...
Na Mwandishi Wetu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Yusuf Masauni amesema Serikali ya Tanzania imechukua hatua za kuimarisha ...
STRAIKA tegemeo wa Tanzania Prisons, Samson Mbangula atakosa mechi zote zilizobaki msimu huu baada ya kufanyiwa upasuaji wa ...
KLABU ya mbio za magari ya Mount Uluguru imetwaa taji la klabu bora ya mwaka 2024 na kupewa tuzo maalum katika hafla ya ...