Kaimu Jaji Mfawidhi Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Morogoro, Amir Mruma amesema wananchi wengi hawajui haki zao katika kupata huduma muhimu ikiwemo umeme na maji.
Watu wawili wanaume wamefariki dunia kwa nyakati tofauti kutokana na athari za maji yaliyotokana na mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali ndani ya Mkoa wa Morogoro. Kamanda wa Polisi wa mkoa ...
Na Mwandishi Wetu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Yusuf Masauni amesema Serikali ya Tanzania imechukua hatua za kuimarisha ...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema mlipuko unaoshukiwa kuwa wa virusi vya ugonjwa wa Marburg umewaua watu wanane katika mkoa wa Kagera Kaskazini magharibi mwa Tanzania. Taarifa ya shirika hilo ...