Profesa Mkenda alisema hayo juzi mjini Morogoro akifungua warsha ya tathmini ya utekelezaji wa kazi mbalimbali za mradi wa Kulimarisha Ubora wa Elimu ya Sekondari (SEQUIP-AEP) ambao unatekelezwa na ...
Kazungu amesema kuwa Tanzania inatarajia kuwa miongoni mwa nchi ambazo zinaongoza kwenye uendelezaji wa umeme wa jotoardhi Kusini mwa Jangwa la Sahara. Akinadi fursa ziilizoko nchini Tanzania katika ...
Ametangaza kuwa kituo hicho, kinachojengwa na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), kitaanza kutoa huduma za kujaza gesi asilia ... na tutaanzisha vituo vya kujaza gesi vinavyotembea—kimoja ...